
Kupitia mtandao wa Twitter wa Mwandada huyo ameonesha mapenzi ya wazi
wazi ya ushabiki wake kwa Mwanamuzili Aslay kwa kuandika "Aslay ni
Mfalme wangu wa Bongo Fleva🙌🏿🙌🏿 Ni Moto🔥Anaunguza🔥🔥🔥🔥🔥🔥" Lulu
amezitaja nyimbo 3 za Aslay alizoachia hivi karibuni na kusema zote ni
kali.
Post a Comment