Kuhusu Harmorapa kupanda ndege
Harmorapa
Kupitia mtandao wa instagram Harmorapa ameandika, “Maisha ni safari
ndefu na mpangaji ni mwenyezi Mungu. Ukweli sikuwahi kuwaza katika
maisha yangu kama ipo siku nitatimiza moja ya ndoto yangu ya kupanda
ndege.So ndugu zangu nawasihi ni mwiko kukata tamaa, omba Mungu sana atakutimizia ndoto zako. Shukrani #bossladySabuka kwa kunifikisha hapa nilipo, leo pia naomba Mungu ajalie aendelee kua na moyo huo wa kizungu maana kiukweli ni mzungu wa pekee.
Post a Comment