Gazeti la Tanzania Daima lamuomba radhi Mwanasheria mkuu wa serikali
Gazeti la Tanzania Daima, limemuomba radhi Mwanasheria wa serikali
AG, George Masaju kwa kuweka picha ya mwanasheria huyo na nukuu isiyo
yake, katika toleo namba 4563 la Mei 31 lililokuwa na kicha cha habari
cha ‘Mchanga hofu tupu’
Soma taarifa kamili:
Tazama muonekano wa gazeti hilo:
Soma taarifa kamili:
Tazama muonekano wa gazeti hilo:
Post a Comment