Baada ya kuwa kimya kwa muda karibu miezi mitano Leo kutoka kwenye
mikono ya Man Walter, Herry samair a.k. Mr Blue kutoka pande za Kariakoo
amekudropishia mpya kutoka kwake.
Bongoswaggz inakukaribisha Kuipakuwa ngoma moya ya Mr blue
aliyomshirikisha Jr na kupikwa vyema na Man Walter na kuipa jina la
'SIWEZI' Enjoy
Post a Comment