KIMEWAKA TENA, ‘DAVIDO VS WIZKID’
N muda tangu wasanii hawa kutoka Afrika kuonekana kumaliza tofauti zao ambazo zilikuwepo, mambo si mambo vita imeanza tena upya baada ya Wizkid kumuunfollow Davido kwenye akaunti yake ya Instagram, baada ya muda moja ya shabiki wa Davido aliamua kumdondoshea maneno Davido kwamba Wizkid amemunfollow mshkaji na jamaa afanye hivyo hivyo.
Hata hivyo Davido nae akaonekana kuyatilia maanani ushauri wa shabiki wake kwamba nae umunfollow Wizkid na akamuunfollow mshikaji.

Post a Comment