Header Ads

Rick Ross amempost Diamond Platnumz leo


Rapa maarufu nchini Marekani Rick Ross leo September 9, 2017 amempost Staa wa Bongp Diamond Platnumz katika ukurasa wake wa Instagram akiwa amebeba chupa za kinywaji cha Belere ikiwa ni ishara ya kukinadi kinywaji hicho.
Diamond ni balozi wa kinywaji hicho cha Belere na yeye amekua Staa wa pili kutoka Afrika kupostiwa na Rick Ross baada ya siku kadhaa zilizopita mwanadada kutoka nchini Kenya Huddah Monroe pia kupata bahati hiyo ya kupostiwa na Staa huyu wa Hollywood.

No comments